Key Terms

UHAMISHAJI WA FEDHA KIDIJITALI: MANENO YA MSINGI

SEHEMU YA 1: MWENENDO WA UHAMISHAJI WA FEDHA

Uhamishaji wa fedha

Kulingana na shirika la IMF, uhamishaji wa fedha ni mapato ya nyumbani iliyotumwa au kutolewa na watu binafsi waliohamia katika eneo mpya la uchumi (ughaibuni) na wamekuwa wakaazi wa eneo hilo la uchumi mpya. Uhamishaji wa fedha hivyo basi hujumuisha fedha na vitu visivyo vya fedha zinazotumwa au kupokewa kupitia njia zilizo rasmi au njia zisizo rasmi

Anayetuma pesa

Huwa ni mtu wa familia anayetuma pesa kwa mtu mwengine (mpokeaji) ili kumsaidia kugharamia maisha na mahitaji yake mengine.

Anayepokea pesa

Huwa ni mtu anayepokea pesa zilizotumwa. Kulingana na mwongozo huu, anayepokea pesa ni mkimbizi ama mhamiaji aliyerejea katika nchi yake asili.

Mhudumu wa uhamishaji wa fedha

Mhudumu huyu huwezesha uhamishaji wa fedha kati ya anayezituma na anayezipokea rasmi. Hutumia hati rasmi ili kuwezesha uhamishaji wa fedha kati ya mipaka na pia benki.

Uhamishaji rasmi wa fedha

Hii ni njia ya kutuma fedha kwa nchi nyingine kupitia njia zilizo rasmi ambapo mtiririko huu wa fedha unathibitishwa na mfumo maalum wa kifedha.

Uhamishaji wa fedha usio rasmi

Hii ni njia ya kutuma fedha kwa nchi nyingine kwa njia ya usiri au kutumia njia zisizokubalika kisheria. Msingi wa uhamishaji wa fedha wa aina hii ni imani na hutendeka nje ya mfumo maalum wa kifedha.

Section 2: Digital remittance ecosystem

Uhamishaji wa fedha kidijitali

Hii ni mbinu ya kutuma pesa kutumia njia za umeme. Hurahisisha uhamishaji wa fedha ikawa rahisi na upesi na fedha inaweza kutumwa katika maeneo yaliyo mbali. Kutoa fedha kidijitali huwezesha shughuli kama kuweka fedha moja kwa moja katika akaunti ya benki, pia shughuli za malipo kutumia kadi ya mkopo, malipo ya kodi kwenye mtandao na uhamisho wa waya. Kulingana na mhudumu wa kutoa fedha, utumizi wa programu ya simu au tovuti husaidia kuhamisha fedhamoja kwa moja kati ya benki moja na nyengine, na akaunti za malipo na mikopo

Teknolojia ya pesa ya rununu

Hii ni teknolojia inayosaidia utumizi wa simu ya rununu kuhamisha fedha kati ya akaunti tofauti. Huduma ya teknolojia ya rununu huwezesha huduma zifuatazo;

  • Uhamishaji wa fedha katika taifa na kimataifa:-Uhamishaji wa fedha katika taifa huhusisha kutuma/ kupokea pesa kutoka eneo moja hadi eneo lengine ndani ya nchi wakati uhamishaji wa pesa wa kimataifa huhusisha uvukaji wa mipaka. Malipo kwa kutumia simu ya mkono huhusisha; utumizi wa simu ya rununu kuwezesha shughuli za malipo , ununuzi wa bidhaa / huduma kama umeme, vocha ya simu, kodi ya hospitali na kadhalika.
  • Malipo ya kiasi kikubwa: malipo ya kiasi kikubwa ni njia ya upesi ya kuhamisha/ kutuma pesa/ fedha kwa wapokezi wengi, hutumika sana wakati wa kulipa mishahara, faida za wafanyakazi, malipo ya wauzaji
  • Kulipa wafanyabiashara:- Kulipa wafanyabiashara wanaonunua bidhaa kwa kiasi kubwa na kuwauzia wafanyabiashara wadogo

Bidhaaa za akiba

Hali ya kuweka pesa kwenye akaunti ya benki itakayozalisha riba. Inaweza pia kuelezwa kama mbinu ya kuhifadhi pesa kwa kutumia mkoba wa simu.

Mkopo

“Pesa ama kifaa kinachoazimwa kwa masilikilizano kuwa mkopo huo utalipwa na riba.”

Bima

Hii ni mbinu ya kuhamisha hatari inayohusisha mtu binafsi kwa njia ya kupata ulinzi wa kifedha kutokana na hasara ama uharibifu kutoka kwa kampuni inayojihusisha na mambo ya bima kwa mfano; kinga ya gharama ya huduma za afya.

Vocha ya simu (Mjazo)

Ununuzi wa vocha ya simu kupitia teknolojia ya pesa ya rununu. Pesa hizo hutoka kwenye akaunti ya simu ya mkono.

Kulipa bili za huduma

Hii ni kufanya malipo ya huduma ya mara kwa mara aidha unapokuwa karibu ama mbali na sehemu ambayo huduma inayotolewa.

Innovators

Includes private operators and developers in the tech industry who develop new ideas/strategies/technologies to address/improve various components of money transfer so as to improve access, utilization and satisfy user needs.

CSOs/NGOs

These are voluntary, not-for-profit entities that work within the social sphere, have direct ties to communities in which they work and advocate for community interests. These include village associations, community based organisations and non-governmental organisations.

Governments

The administrative component (national or local government units) in the remittance ecosystem that is in charge of developing and administering public policy i.e. policy guidelines that regulate money transfer and operation of different players within the sector.

Private sector

Part of the remittance landscape that is run by individuals, private companies, banks, manufacturers, fintech companies and RSPs that provide remittance services with the intention of making profit.

Beneficiaries

These are remittance receiving individuals/households or ecosystem system service users.

Section 3: Types of services provided by digital remittance channels

Ubadilishanaji wa sarafu za kigeni

Kiwango cha ubadilishanaji ni bei ya sarafu ya nchi fulani ikilinganishwa na sarafu ya nchi nyengine. Kiwango cha ubadilishanji pia ni jumla ya kiwango kwa kipindi fulani ama kiwango mwisho wa kipindi fulani.

Vocha ya simu (Mjazo)

Ununuzi wa vocha ya simu kupitia teknolojia ya pesa ya rununu. Pesa hizo hutoka kwenye akaunti ya simu ya mkono.

Bill payment

“Making a payment for a recurring service, either in person (“face to face”), or remotely.”

Mkopo

Pesa ama kifaa kinachoazimwa kwa masilikilizano kuwa mkopo huo utalipwa na riba.

Savings

“Traditionally, the storage of a customer’s money by a bank within an interest-bearing account. It is sometimes used more loosely to describe any store of money, such as the balance of electronic money within a mobile wallet.”

Section 4: Cost of sending and receiving digital remittance

Ukanda wa kutuma fedha

Huu ni uunganisho wa kijiographia kati ya taifa inayotuma fedha hadi taifa inayopokea pesa zile. Kwa mfano, Uingereza na Marekani ni kanda za utaoji wa fedha kati ya Kenya na Somalia kulingana na jumla wa mtiririko wa fedha.

Uhamishaji kati ya mabenki

Pesa huweza kuhamishwa kati ya akaunti mbili za benki zilizo ndani ya benki moja ama kati ya akaunti zilizo katika benki mbili tofauti. Idadi kubwa ya pesa zinazohamishwa kimataifa hutendeka kati ya akaunti mbili zilizoko katika benki tofauti. Uhamishaji kati ya mabenki huwezeshwa kupitia kaunta ama kwa kutumia uhamishaji wa waya (kielektroniki); ambayo ni mbinu ya upesi ya kutuma pesa kati ya taasisi za kifedha.

Kadi ya malipo/mkopo hadi kwa mkoba wa simu

Kuna idadi fulani ya wahudumu wa kuhamisha fedha wanaoruhusu wateja kuhamisha pesa kwa kutumia kadi ya malipo ama kadi ya mkopo. Shughuli hiyo huweza kutendeka kutoka kwa akaunti ya benki ya anayetuma akiwa na mbinu tatu za kutuma i) kupitia kwa mtandao, ii)kwa kutumia simu iii) kwa kutembelea kituo cha benki.

Kadi ya malipo/mkopo hadi kwa akaunti ya benki

Pesa zinaweza kuhamishwa moja kwa moja kutoka kwa kadi ya mkopo hadi kwa akaunti ya benki kwa kutumia mbinu zifuatazo; i) kupitia kwa mtandao, ii)kwa kutumia simu iii) kwa kutembelea kituo cha benki. Anayetuma anahitajika kuungaisha kadi ile na akaunti ya benki

Ajenti hadi kwa ajenti

Shughuli hii huhusisha kutembelea ajenti na hati rasmi ili kutuma pesa kwa ajenti mwengine ama kuchukua pesa zilizotumwa kupitia ajenti. Mteja anaweza kuweka , kutoa na kuhamisha pesa.

Ajenti hadi kwa mkoba wa simu

Inahusu kutembelea ajenti aliyekaribu, kujaza fomu ama kupeana hati kwa ajenti pamoja na nambari ya simu ya anayetumiwa pesa zile. Ajenti wengi huwa na nambari zao maalum zinazotumiwa na aliyepokea pesa kutoa pesa zile.

Mkoba wa simu hadi kwa mkoba wa simu

Huhusisha kutuma pesa moja kwa moja kutoka kwa mkoba wa simu hadi kwa mkoba wa simu nyingine.

Types of remittance costs and their impact

Kiwango cha ubadilishanaji

Kulingana na OECD, kiwango cha ubadilishanaji ni ‘bei ya sarafu ya nchi moja ikilinganishwa na sarafu ya nchi nyingine, yaani, thamani ya sarafu moja ikilinganishwa na sarafu nyingine ya kigeni. Ukieleza kwa kutumia maneno rahisi, hii ni ile bei ya kununua sarafu ya kigeni. Viwango (bei katika utafiti huu) huweza kubadilika hivyo basi hubadilika mara kwa mara.

International money transfer

International money transfer are subjected to daily exchange rates. Depending on the fluctuation (exchange rate behavior), the sender or receiver can either save money or lose a fraction from the transaction. The knowledge on how exchange rates affect transactions is important for a user to ensure he/ she does not opt for a money transfer that charges high margins on transfers.

Ada ya kutuma fedha

Idadi kubwa ya wanaotoa huduma ya kuhamisha fedha huwa na bei moja ya kudumu wanayotoza kuhamisha pesa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mtu mwengine. Ada hii hutegemea na mhudumu ambaye mteja anatumia na pia kiwango cha pesa kinachotumwa na aina ya sarafu ya pesa inayotumwa. Ada zengine hutegemea na mbinu inayotumiwa na anayetuma kwa mfano kutoka kwa akaunti ya benki , mkoba wa simu, kadi ya malipo ama kadi ya mkopo.

Ada ya kutoa fedha

Ada inayogharamiwa wakati mtu anapokea pesa. Ada hii hutozwa wakati mtu anapotoa pesa kutoka kwa akaunti ya benki, mkoba wa simu, mashine ya kutoa pesa ama kwa ajenti. Ada hii pia inaweza kutozwa wakati mtu anapolipia bidhaa na huduma kwa kutumia kadi ya malipo/ kadi ya mkopo ama simu ya rununu.

Kiwango cha riba

Ada inayotozwa mtu anapokopa/-kuweka akiba. Huwa ni asilimia fulani ya pesa iliyokopwa ama kuekezwa kwa jumla. Kwa mfano, mtu anapoweka akiba, atapata pesa za ziada juu ya pesa alizowekeza awali. Kwa kutumia huo mtindo, pesa zinazokopeshwa hurudishwa nyingi zaidi ya zile zilizokopwa kulingana na kiwango cha riba kilichoamuliwa awali.

Section 5: Costs of sending and receiving digital
remittance

Fees structure

How transactions costs are calculated by RSPs. This can include a range of factors from RSP service charges to currency exchange rates.

Exchange rates

Defined as the price of one country’s’ currency in relation to another. Exchange rates may be expressed as the average rate for a period of time or as the rate at the end of the period.

Transfer speed

The time between which money sent by the remitter is received by the beneficiary.

Products and services offered

The range of remittance of other financial services provided by the RSP

Transfer methods/ Payment options

The remittance channel used to transfer money between sender and receiver, for example via an online credit card payment to a mobile money wallet.